JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Mara awataka waandishi kuondoa hofu ya usalama wao

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewataka Waandishi wa Habari kufanya kazi bila wasiwasi wakihofia Usalama wao katika utekelezaji wa majukumu yao. Katika kikao na waandishi wa habari na maafisa habari kilichofanyika mkoani Mara…

DKT. Biteko ammwagia sifa Rais Dk Samia kwa kasi ya utekekezaji wa miradi Bukombe

๐Ÿ“Œ Shule mpya 30 za msingi zajengwa ๐Ÿ“Œ Kila Kata wilayani Bukombe sasa ina Shule ya Sekondari ๐Ÿ“Œ Barabara mpya zajengwa, mtandao wafikia kilometa 1400 ๐Ÿ“Œ Bukombe sasa ina hospitali mbili, vituo vya afya sita, zahanati 18 ๐Ÿ“Œ Apokea wanachama…

DKT. Biteko azindua zahanati ya Bungoni -Ilala

๐Ÿ“ŒAwataka wanachi kutumia fursa za uwepo wa Zahanati hiyo kupata huduma ๐Ÿ“ŒAkemea viongozi wanaojificha Kwenye kivuli cha taratibu kuchelewesha maendeleo ๐Ÿ“ŒUjenzi wagharimu Shilingi Milioni 351 ๐Ÿ“ŒKuhudumia Wananchi wa Kata nne, wapatao Elfu 12 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam. Naibu…

RC Kunenge : Walimu wakuu, bodi za shule wasiwe kikwazo kwa wanafunzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge, ametoa agizo kwa wakuu wa shule na bodi za shule wasiwe kikwazo , kuwazuia wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024 wasipokelewe shule ,kwa sababu…

Chalamila akiri Dar kuwa lango la kuingiza dawa za kulevya, apongeza ukamataji Kg 3,182

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini (DCEA), ambapo imefanikiwa kukamata kg 3,182 za dawa za kulevya aina ya Heroin na Methamphetamine katika…