Latest Posts
Ndunguru:Uwekezaji sekta ya madini umekua kwa kasi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru amesema Uwekezaji katika Sekta ya Madini umekua kwa kasi ikiwemo kuongezeka kwa mapato ya Serikali yanayotokana na shughuli za madini nchini….
Mchezaji wa Mtibwa Sugar afariki kwa mshtuko
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media. Beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Moby Mfaume amefariki dunia jana jioni Machi 05, 2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Thobias Kifaru amethibithisha kutokea kifo cha mchezaji huyo ambapo…
Simba SC yajipanga kumkabili Vipers nyumbani
Na Mwandishi wetu, Jamhuri Media, Dar es Salaam. Ikiwa ni muendelezo wa mashindano ya klabu bingwa Afrika, Simba Sc wataingia dimbani kuwakabiri Klabu ya Vipers kutoka Uganda kesho Machi,7 2023 katika dimba la Benjamin mkapa jijini Dar es salaam saa moja…
Meya Dodoma azitaka Kamati za urasimishaji kutokuwa miungu watu
Na Magreth Lyimo,WANMM Kamati za urasimishaji zimeelekezwa kutokuwa miungu watu na badala yake zimetakiwa kusimamia na kuwa kiunganishi kati ya wananchi na wataalamu wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) watakaoenda kutekeleza zoezi la urasimishaji katika Jiji…