JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbeto : Miaka mitatu ya Rais Mwinyi imeandika historia mpya Z’bar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis, amesema kuwa miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi, inaiweka Zanzibar katika orodha ya nchi za…

Anna: Mwanamke aliyejifunza ushonaji, kununua cherehani kwa ruzuku ya TASAF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Itilima RUZUKU inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini imemwezesha, Anna Ang’obo Ngasha (45), kujifunza ushonaji nguo, kununua cherehani, kazi ambayo inamwezesha kujiingizia kipato cha kuendesha maisha yake. “Nimekuwa…

Klabu ya Rotari Dar es Salaam Mzizima wampa tuzo ya umahiri Prof. Janabi

Klabu ya Rotari Dar es Salaam-Mzizima leo wamempa tuzo ya umahiri Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ikiwa ni ishara ya kutambua utendaji wake mahiri na mchango katika jamii hususani kwenye sekta ya afya. Tuzo hii…

Watatu wakiri kumuua mfanyabiashara na kuchukua mil 1.8/- Rukwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Baraka Markusi Nyangala (30), mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Kasisiwe Manispaa ya Sumbawanga. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa…