Latest Posts
Biashara ya mkaa inavyochagiza uharibifu wa mazingira
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Ukataji wa miti ni changamoto katika jitihada za kulinda misitu hasa nchi zinazoendelea kwa sababu ya watu kukata miti kwa ajili ya mkaa, kuni pamoja na mbao . Athari za ukataji miti ni nyingi na katika hatua…
PPRA yajipanga kudhibiti urasimu kwenye ununuzi wa Umma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali imepanga kufanya maboresho ya sheria ya ununuzi wa umma kukidhi mahitaji ya soko, kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji kwa wanaojihusisha katika ununuzi wa umma. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma…
Ridhiwani: Wanufaika wa TASAF watolewe kupitia mkutano wa vijiji
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza wataalam wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF ),kuhakikisha wanafanya uhakiki kwa kufuatilia wanufaika waliotolewa kimakosa kwenye mpango huo ili kupunguza…
PLASCO yaipa Muhimbili tanki la maji ujazo lita laki mbili
Kampuni ya PLASCO hivi karibuni itaikabidhi Hospitali ya Taifa Muhimbili msaada wa Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita laki mbili ambalo thamani yake ni sh. mil.150 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kurejesha kwa jamii. Meneja…
Elimu afya ya uzazi kwa vijana itakavyomaliza mimba zisizotarajiwa
Na Stella Aron JamhuriMedia Suala la afya ya uzazi lina mchango mkubwa sana katika kutimiza ajenda ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ifikapo mwaka 2030. Suala hii linaenda sanyari na idadi ya watu, rasilimali zinazohitajika na hata mustakabali wa…