Latest Posts
Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha hati za utambulisho
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan…
Wakulima wa mahindi Ruvuma waiomba Serikali kupanga bei maalumu ya zao hilo
Na Cresensia Kapinga,Namtumbo. Wakulima wa zao la mahindi mkoani Ruvuma wameiomba Serikali ione umuhimu wa kuweka bei ya zao hilo ambayo inafafana na gharama ya uzalishaji tofauti na hivi sasa kilo moja ya mahindi wakala wa hifadhi ya chakula kanda…
DC Mbinga atoa siku saba wanaoishi Hifadhi ya mlima Amani Makolo kuondoka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbinga Mkuu wa Wilaya Mbinga Aziza Mangosongo alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkeke, kata ya Amani Makolo, Akiwataka wananchi wote wanaoishi kwenye eneo la hifadhi ya mlima amani…
JK ateta na Kamati ya Utatu ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC- TROIKA) Mjini Luanda-Angola
Na Mwandishi Wetu, Angola Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, (SADC Panel of Elders) akiwa pamoja na Viongozi wanaounda Kamati ya Utatu ya Siasa, Ulinzi na…





