JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mkuu wa Uingereza atozwa faini kwa kutokufunga mkanda

Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutokufunga mkanda akiwa ndani ya gari lililokuwa katika mwendo. Waziri Mkuu huyo ametozwa faini mara baada ya kujirekodi video akiwa ndani ya gari bila kufunga mkanda na kuituma katika ukurasa wake…

‘Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi si jukumu la wizara pekee’

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Burian amesema suala la kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga sio jukumu la wizara ya Afya pekee hivyo ni muhimu kila sekta kuweka mikakati ya pamoja. Balozi Burian amebainisha hayo mkoani…

CCM yatoa wiki moja walimu 
wote wapate vishikwambi

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na Serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa.  CCM Imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim…

Baraza la biashara Kibaha laonyesha mwanga wa mafanikio

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Wawekezaji na wafanyabiashara wameaswa kuwa wazalendo kwa kulipa Kodi na kuwasilisha taarifa sahihi za biashara zao ili kuiwezesha Wilaya kupata Mapato yatakayotumika kujenga miundombinu na Maendeleo mengine Kisekta Rai hiyo imetolewa Muhammad Tundia ambaye ni Mwenyekiti za…

CHADEMA Lindi kushiriki mapokezi ya Lissu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Lindi kimepanga kushiriki mapokezi ya makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho upande wa Tanzania bara,Tundu Lissu.  Hayo yameelezwa leo Januari 20,2023 na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi, Zainabu Lipalapi wakati…