Latest Posts
Morrison na Saido wanavyotuachia maswali magumu kuhusu kisinda na wachambuzi
Nimemsikia mtu anailaumu Yanga kwanini walimuacha Saido na kumsajili Kisinda, kwanini hasemi walimuacha Saido na kumsajili Aziz Ki? Kwani Saido amejiunga na Simba akitokea Yanga au Geita Gold? Kwanini hawalaumiwi Geita kwa kumuacha Saido lakini inalaumiwa Yanga? Walitaka Saido akijiunga…
Simba wafunga mwaka kwa kishindo,yaipiga wiki Prison
WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji na Nahodha, John Bocco amefunga mabao…
Singida Stars yaichapa Geita Gold 2-1
Wenyeji, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Mabao ya Singida Big Stars yote yamefungwa na nyota wake wa Kibrazil,…
TCRA yabaini kampuni kutoa huduma za televisheni za satelaiti bila leseni
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na.12 ya 2003, na kupewa jukumu la kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania. TCRA imebaini kuwepo kwa makampuni…
Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi
Waziri Mku Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha wafanyabiashara…