JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi yawaonya wanaopandisha bei za nauli za mabasi Arusha

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia Kupitia kikosi cha usalama barabarani mkoani humo limewaonya baadhi ya mawakala wanaopandisha nauli kiholela kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kuwa halitowafumbia macho mawakala na wamiliki…

Waziri Majaliwa aagiza TAKUKURU kuichunguza MUWASA Katavi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Katavi awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda (MUWASA), Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za…

Maafisa ugani watakiwa kuwasaidia wafugaji kufuga kibiashara
 

Na Edward Kondela,JamhuriMedia Maafisa ugani kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki wametakiwa kuhakikisha wanawasaidia wafugaji kufuga kibiashara na kuachana na ufugaji usio na tija. Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyonge amebainisha hayo jana Mjini Maswa, wakati…

Yanga kukutana na TP Mazembe,Simba na Vipers Kombe la Shirikisho CAF

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Soka barani Afrika, Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) tayari wamepangwa makundi ya michuano hiyo msimu wa 2022-2023. Katika droo hiyo iliyoendeshwa na Shirikisho la Soka barani…