Latest Posts
Mkenda:Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee
Na Mathias Canal,JamhuriMedia, Dar Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala…
Tanzania, Oman zainisha maeneo ya kushirikiana
Tanzania na Oman zimedhamiria kuchukua jitihada za makusudi kuimarisha ushikiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo zenye uhusiano madhubuti wa kihistoria. Hayo yamebainishwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi hizo, Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) na mwenyeji wake,…
Wakulima Manyara walia upatikanaji ruzuku ya mbolea
Wakulima mkoani Manyara wameiomba Serikali kuangalia namna ya kusambaza mbolea ya ruzuku kutokana na usumbufu wanaoupata kwa kukosekana vituo vya karibu. Wakizungumza na kituo cha redio cha Smile FM, baadhi ya wakulima kutoka Dareda, Mamire na maeneo mengine ya wilaya ya Babati wanasema wanatumia gharama kubwa…
Ubora wa bidhaa za wajasiriamali watia fora maonesho ya Juakali
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Riziki Pembe Juma ameeleza kuridhishwa na namna Wajasiriamali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanavyoongeza viwango vya ubora na ubunifu katika huduma na bidhaa…
Watetezi wa mazingira MECIRA kujadili umuhimu wa utunzaji vyanzo vya maji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kituo chama Wanahabari ,Watetezi wa Rasilimali na Taarifa MECIRA kimeamua kuwakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo, mazingira, uhifadhi na utalii kwa ajili ya kujadili umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira. Akizungumza na waandishi…