Latest Posts
Kanda ya Mashariki kuwa kanda ya mfano katika uwekezaji nchini
Mwamvua Mwinyi, JanburiMedia,Pwani Kanda ya Mashariki , mikoa minne ya Pwani, Dar es Salaam, Morogoro na Tanga, imedhamiria kuwa Kanda ya Mfano katika uwekezaji kutokana na uwepo wa Fursa nyingi kwenye sekta ya kilimo,mifugo, na uvuvi. Dhamira hiyo inakwenda sambamba…
Ndunguru akemea lugha kejeli kwa wagonjwa
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Adolf Ndunguru, amewasihi wauguzi wa kada ya utabibu,wakunga na wauguzi kutumia mitandao ya kijamii vizuri bila kwenda kinyume na maadili ya fani yao na nchi…
Serikali yainusuru shule ya msingi Mwalivundo kufungwa
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani, amesema Serikali imeinusuru shule ya msingi Mwalivundo kwa kupeleka fedha kujenga madarasa,choo kwa gharama ya zaidi ya milioni 120 ,shule ambayo ilikuwa kwenye hatari ya kufungwa kutokana na…
Misime:Bodaboda wafuate sheria iliyopo
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limeendelea kupokea maswali toka kwa wanahabari na wananchi wa kada mbalimbali kufuatia matamshi ya Mhe.Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara aliyoyatoa Julai 27,2023 huko Bariadi Mkoa…
Ofisa wa TRA afariki kwa kujirisha ghorofani Tanga
Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga. Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa PolisiMkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutokaghorofa ya pili ya…
Ndumbaro afurahishwa wananchi kujitokeza kupata msaada wa kisheria Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMdia,Songea Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Songea mjini Dkt. Damas Ndumaro ameonesha kufurahishwa na jinsi wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali ya mkoani humo kwa ajili…





