Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V.Muraeedharan alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Leila Mohamed Mussa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V. Muraeedharan (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao (kushoto) Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Dinaya Pravan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi   akiagana na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V.Muraeedharan alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi   akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar  Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V.Muraeedharan alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V.Muraeedharan alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu

By Jamhuri