Latest Posts
Waziri Mabula asitisha vibali vya ujenzi vituo vya mafuta
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya ujenzi wa vituo hivyo kwa muda wa miezi mitatu…
Dkt. Mpango kufungua Tamasha la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Tamasha la Kimataifa la 41 la Utamaduni na Sanaa Bagamoyo linaanza leo Novemba 10, 2022 mjini Bagamoyo litakalojadili kwa kina masuala ya Sanaa na uchumi litalaloongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa na kufunguliwa na Makamu wa…
Waziri Mkuu akagua kazi ya kufufua na kusafisha visima vya maji Dar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa usambazaji maji kwa wananchi na kuagiza zoezi hilo pamoja na uchimbaji wa visima katika maeneo mbalimbali liwe endelevu. Majaliwa amekagua visima katika eneo la Tabata…
Nape:Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheria ya habari Bunge lijalo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheria ya habari bungeni baada ya kikao cha mwisho kukubaliana baadhi ya mapendekezo hayo. Akizungumza na uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI),…
Mwasa:Tangu enzi za Baba wa Taifa mila zilitumika kuomba mvua
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira MORUWASA,kujenga uzio katika bwawa la Mindu lililopo Manispaa ya Morogoro, ili kudhibiti shughuli za kibinadamu zinazoendelea kufanyika kando mwa bwawa hilo ikiwemo kilimo. Mkuu…