JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NECTA yatangaza matokeo kidato cha nne, angalia hapa

Baraza la Mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule 10 bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne kwakuwa utaratibu huo hauna tija. Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi wakati…

Vituo vitatu vya mitihani vyafungiwa

Baraza la Mitihani (NECTA) limezinfungua shule/vituo vitatu vya mitihani vilivyodhibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne (CSEE) 2022. Hayo yamebainishwa Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Athumani Amasi wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne, amesema kuwa…

BREAKING NEWS: NECTA yawafutia matokeo wanafunzi wanne waliojibu matusi

Baraza la Mitihani (NECTA), limefuta matokeo yote ya watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi kwenye mitihani yao. Hayo yamesemwa leo Januari 29,2023 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi wakati akitangaza matokeo ya…

Mpango afanya mazungumzo na waandishi wa kitabu cha uongozi wa Rais Samia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi wa vyuo hapa nchini kuchukulia kwa umuhimu jukumu la kuandika na kuielezea vema Tanzania katika vitabu kwa maslahi ya taifa. Makamu wa Rais…

Majaliwa asisitiza wabunge kushiriki michezo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumamosi, Januari 28, 2023 ameshiriki Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi na sekondari ya John Merlin ya jijini Dodoma ambapo ametumia fursa hiyo kuwasisitiza wabunge na wananchi wengine washiriki katika michezo ili…