Latest Posts
Tanzania kunufaika na dola milioni 100 za mfuko wa uwekezaji Japan
TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza Uwekezaji barani Afrika kutoka Serikali ya Japan zitakazotolewa kuanzia Machi, 2023. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa timu ya Afrika ya KEIZAI DOYUKAI (Japan Association of Corporate…
Dkt. Kiruswa ataka wachimbaji madini kujifunza Nzega
Na Asteria Muhozya,JamhuriMedia, Nzega Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wachimbaji Wadogo wa madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya Nzega kutokana na uthubutu walioufanya kuanzisha maabara za kisasa za kupima mchanga wa madini kabla ya…
Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mjamzito hadi kufa Iringa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa inamshikilia Mohamed Njali kwa tuhuma za kumbaka mjamzito Atka Kivenule na kumsababishia kifo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amethitisha kutokea kwa tukio hilo lilitokea Jumamosi usiku, mtaa wa Maweni,Kata…
Programu ya SAUTI kuleta mabadiliko sekta ya mifugo nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashimba Ndaki amesema kuwa Programu ya Samia Ufugaji kwa Tija (SAUTI) inakwenda kuleta mabadiliko makubwa kwenye Sekta ya Mifugo. Waziri Ndaki ameyasema hayo juzi wakati anazungumza na vijana waliochaguliwa kujiunga kwenye vituo atamizi…
Kuelekea Kombe la Dunia: Tembo Warriors wajifua kambini Uturuki
Timu ya Taifa ya Soka kwa Walemavu, Tembo Warriors imeendelea na maandalizi yao wakiwa kambi maalum nchini Uturuki waliyoandaliwa na Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya Oktoba Mosi kuanza mechi yao ya kwanza ya Kombe la…
Benki ya Dunia yaridhishwa na kasi ya huduma za mahakama
Na Mary Gwera,JamhuriMedia Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa Uchumi na Taasisi kutoka Benki ya Dunia (WB), Bw. Asad Alam amepongeza hatua ya uboreshaji wa huduma za utoaji haki nchini huku akiahidi kuwa Benki hiyo itaendelea kuunga mkono…