Latest Posts
Kasi ndogo ujenzi wa madarasa yamchefua Kairuki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki ameonesha kukerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Tabora. Kairuki amekutana na kadhia hiyo leo wakati wa…
Mwanaume afariki ndani ya bwawa Njombe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mpaka 35 amekutwa amefariki katika bwawa dogo lililopo katika msitu wa Tanwat eneo la Kibena Mjini Njombe. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ambao ni walinzi katika…
Bodaboda kizimbani akituhumiwa kumbaka binti yake wa miaka 11
Dereva wa bodaboda Idrisa Said Bayaga (32) wa kituo cha waendesha pikipiki cha Nyerere Mtaa wa Kawajense Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kushiriki tendo la ndoa na mtoto wake mwenye umri wa 11. Mtuhumiwa…
Ujenzi daraja la kisasa Jangwani kuandika historia mpya
SERIKALI imesaini makubaliano na Benki ya Dunia ya Mkopo Nafuu wa sh. Trilioni 1.24 kwa ajili ya miradi ya umeme vijijini na ujenzi wa uendelezaji wa bonde la Mto Msimbazi utakaohusisha daraja la kisasa la Jangwani. Ujenzi wa daraja la…
Rais Samia kuzindua mradi wa Vihenge Babati
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufungua mradi wa Vihenge nane mjini Babati wenye uwezo wa kuhifadhi tani 25,000 za mazao. Akitoa taarifa hiyo afisa mtendaji wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Milton…
Serikali yaonesha dhamira ya kweli mchakato wa mabadiliko sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imeeleza kuendelea na mchakato wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari na hatua inayofuata ni kufanya mapitio ya mwisho ya mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016. Akizungumza katika kikao cha…





