Latest Posts
Afya ya Rais Sambi yadhoofu
#Anyimwa chanjo UVIKO-19, wananchi walalamika # Miaka 3 na nusu amefungiwa chumbani kizuizini #Aililia Tanzania, jumuiya ya kimataifa wamsaidie NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Afya ya aliyekuwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, anayeteswa…
Moto wa ujangili wawaka Arusha
*DPP kupitia jalada la kesi aliyobambikiwa mwandishi *Serikali yaingia kazini Na Mwandishi Wetu, Arusha Baada ya Gazeti hili, JAMHURI, la uchunguzi kuchapisha kuhusu kuibua ujangili unaofanywa na mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu, Saleh Salim Al Amry na baadaye kulalamika kuwa…
Funga mwaka ya Rais Samia
DAR ES SALAAM NA MWALIMU SAMSON SOMBI Machi 19, mwaka jana Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake, Rais Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, mwaka jana. Akizungumza katika hotuba yake fupi baada…
Ndugai, Kabudi ni somo jipya Tanzania
Na Deodatus Balile Leo napata tabu kuandika makala hii. Tabu ninayoipata, kumetokea mtikisiko wa ghafla ndani ya saa 72, sura ya siasa za nchi ya Tanzania zimebadilika mno. Ninaye rafiki yangu nimekumbuka maneno yake. Alipata kuniambia: “Usichezee njiti ya kiberiti,…
Yanga Princes waitazame Simba Queens
NA MWANDISHI WETU Jumamosi ya wiki iliyopita Timu ya Yanga Princes ilicheza mechi yao ya saba dhidi ya mtani wao Simba Queens. Kilichobadilika ni idadi ya mabao waliyofungwa katika ‘derby’ zilizopita ukiachana na ile ya Desemba 12, 2020 katika Uwanja…
Spika ameondoka, hoja bado imebaki
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Baada ya hoja ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, au kama ilivyoitwa kauli aliyoitoa wakati anazungumza na Umoja wa Wagogo (Wanyasi) kuhusu mikopo na kwenda mbali kutaja deni lilivyokua kwamba tunadaiwa Sh trilioni 70 na…