Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya kuzindua  Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  akifuatia  Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha .[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimkabidhi  Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Bi.Mwanamkaa A.Mahmoud  Hadidu Rejea,Kanuni na Mpango kazi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar akiwa  Mwenyekiti wa Kamati hiyo  mara baada ya kuizindua rami leo katika  Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia)Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na (wa pili kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya  Uzinduzi wa   Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto)  Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha ,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Viongozi wa Taasisi mbali mbali na waalikwa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Baadhi ya Wakuu wa vyombo vya Usalama na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akisoma maelezo na majukumu ya  Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar mara baada ya kufanya uzinduzi wa kamati hiyo leo  katika  Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil  Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Bi.Mwanamkaa A.Mahmoud.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.

By Jamhuri