JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Wadau wanavyotabasamu kutembea na Rais
Samia mabadiliko sheria ya habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia IMEELEZWA kuwa wakati wa mabadiliko ya sheria zinazominya uhuru wa habari nchini ni sasa na kwamba, harakati za kudai mabadiliko ya sheria hizo ilianza siku moja baada ya sheria zilizopo sasa kusainiwa mwaka 2016 na kuanza kutumika….

MV Liemba yatenga bil.8.1/- kwa ujenzi wa meli mpya

Na Abdulrahman Salim,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL),Meja Jenerali Mst. John Mbungo amempongeza Rais wa Awamu ya Sita Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilingi Bilioni 45.1 kwa ajili ya kujenga meli mpya pamoja na…

Mpango amwagiza IGP kuwachukulia hatua askari wanaoharibu taswira ya jeshi

Makamu wa Rais amemuagiza IJP Wambura kuangazia malalamiko yanayotolewa na wananchi kwa Jeshi la Polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira ya jeshi hilo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya…

Kanali Joseph Bakari atunukiwa nishani Jeshi Shirikisho Urusi

WIZARA ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunukia nishani Kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi KimataifaKanali Joseph Bakari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini Urusi. Kanali Bakari ambaye ni Mkurugenzi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani…

Serikali yatangaza mapumziko siku ya Sensa

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kuwezesha Watanzania kushiriki Sensa ya Watu na Makazi. Awali ilitangazwa kuwa siku hiyo haitakuwa aya mapumziko