JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TPA: Bandari ya Mtwara ni fursa mpya kwa nchi za SADC

Katika makala hii tunakuletea maelezo kuhusu Bandari ya Mtwara, ambayo ni miongoni mwa bandari za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambazo zipo kimkakati katika kuhudumia soko la nchi za SADC.  Bandari hii ya Mtwara inasimamia bandari ndogo ndogo za…

Ndugu Rais tuandalie meza ya maridhiano

Ndugu Rais, tumtangulize Muumba wetu kwa kuwashukuru wachungaji na mapadri wa Dodoma ambao kwa wakati wote wamekuwa wakiniombea uzima wawapo katika sala zao! Nimeisikia sauti yenu na baba yenu wa mbinguni anazipokea sala zenu. Mwenyezi awabariki ili siku moja mje…

Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni mahabusu ambaye nimo gerezani kwa amri ya mahakama nikituhumiwa kesi ya kubambikiwa ya mauaji. Nimo gerezani tangu Mei 08, 2016 mpaka hivi sasa unavyosoma barua hii. Mheshimiwa Rais, sababu ya kupewa…

Mfumo wa Tehama kuzilinda barabara

Bodi ya Mfuko wa Barabara imo mbioni kuzindua mfumo wa Teknolojia na Mawasiliano (Tehama) utakaowashirikisha wananchi katika kufuatilia uharibifu na matengenezo ya barabara. Lengo la kuanzishwa kwa mfumo huo ni kuwawezesha na kuwashirikisha watumiaji wa barabara kutoa taarifa kwa mamlaka…

MAISHA NI MTIHANI (40)

Unapotaka kufanikiwa, uwe kama udongo mikononi mwa mfinyanzi Unyenyekevu ni mtihani. Unapojivuna kuwa umeupata unyenyekevu unapotea. Kama wewe ni mnyenyekevu usiwaambie watu kuwa wewe ni mnyenyekevu. “Kuanguka hakuumizi wale ambao wanapaa chini chini.” (Methali ya China). Ukipaa juu sana unapoanguka…

Mchawi wa ajira tunaye wenyewe

Serikali imetenga Sh bilioni 40 kwa mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya VETA katika wilaya 25 nchini. VETA wanasema maombi ya vijana wanaotaka kujiunga kwenye vyuo vyake yamefikia 800,000 kwa mwaka ilhali uwezo…