Latest Posts
Nia njema tabibu, nia mbaya harabu
Nia ni kusudio, yaani dhamiri ya kutaka kukamilisha jambo au haja. Binadamu hafanyi jambo bila ya kuwa na nia katika nafsi yake. Nafsi humsukuma kutaka jambo lake lifanikiwe katika umbo la uzuri au ubaya. Nia nzuri au mbaya huonekana binadamu…
Yah: Siasa ni muhimu kwa taifa lolote
Naanza na salamu. Salamu ni uungwana wa kawaida kwa muungwana yeyote ili aweze kuwasiliana na mwenzake, maisha ya kuishi kila mtu akimuona mwenzake ni adui si maisha mazuri na kupishana kwa itikadi hakutufanyi tuwe maadui na kukubali matokeo ya walio…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (9)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 8 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Shahidi wa pili alikuwa Bibi Judith mwenyewe. Aliieleza mahakama jinsi siku moja walivyokuja jamaa watatu. Mmoja alikuwa Mzungu, mwingine Mwarabu na wa mwisho alikuwa mtu mweusi Mwafrika. Watu…
Fid Q kusherehekea ‘birthday’ na Kitaaolojia
Msanii wa muziki wa hip-hop, Farid Kubanda, maarufu kama Fid Q, kila ifikapo Agosti 13, husherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mashabiki wa muziki wa Fid Q wanafahamu Agosti 13 hufanya nini kwa mashabiki wake. Fid Q hutumia fursa hiyo kukonga nyoyo za…
Mashabiki Simba, Yanga tatizo
Kila wakati uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umekuwa ukiambatana na malalamiko ya mashabiki wa Simba na Yanga. Kocha yeyote yule atakayechagua timu ya taifa, lazima atajikuta akiangukia kwenye uadui na mashabiki wa Simba au wale wa Yanga. Wachezaji wa…
Simu ‘yamuua’ Naomi
Siku chache baada ya polisi kutangaza kumkamata Hamis Said Luwongo (38), kwa tuhuma za kumuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani, taarifa za kina zimeanza kuvuja na inaonekana simu ya mkononi ilichangia kutokea kwa mauaji hayo. Uchunguzi unaonyesha kuwa…