Latest Posts
Tunaihitaji sekta binafsi – Rais Dk. Magufuli
Kwa hiyo sekta binafsi endeleeni kujiamini, endeleeni kufanya kazi, mje Tanzania hapa ni mahali salama kwa uwekezaji. Tunawahitaji leo, tuliwahitaji juzi, tutawahitaji keshokutwa, tutawahitaji miaka yote kwa sababu Tanzania iko hapa kwa miaka yote. Tangu leo, kesho, keshokutwa na maisha…
Ndugu Rais, anayejidhania amesimama aangalie asianguke
Ndugu Rais, kama wapo wenzetu waliodhani kuzuia Bunge kuonekana kwa wananchi moja kwa moja kutawafanya wasijue yanayofanyika ndani ya Bunge, sasa wakiri kuwa hawakufikiri sawa sawa. Lisiporekebishwa hili kabla ya uchaguzi mkuu ujao itakuwa ni kwa hasara yetu wenyewe! Udhaifu…
TPA: Usalama ni namba moja katika shughuli za bandari
Bandari ni lango la biashara kitaifa na kimataifa, hivyo ni muhimu sana kufanya biashara katika bandari zenye usalama na mazingira rafiki na yanayovutia wateja. Kwa hiyo TPA ina wajibu wa kuhakikisha bandari zote nchini ni salama kwa wafanyakazi ili waweze kufanya…
Tumechimba kaburi la utalii wa filamu
Hapa Tanzania ukitamka neno ‘utalii’, haraka haraka akili za watu hukimbilia kwenye mbuga za wanyama, Mlima Kilimanjaro labda na fukwe za Zanzibar: Basi! Hata serikali inaelekea kufikiria hivyo, ndiyo maana mkazo kuhusu utalii uko kwenye aina hiyo tu ya utalii….
Mali iliyopatikana kabla ya ndoa inahesabika ya familia?
Mara kadhaa linapoibuka suala la kugawana mali pale ndoa inapohesabika kushindikana, masuala kadhaa ya msingi na yanayohitaji uelewa huwa yanaibuka. Moja ya suala kati ya masuala ambayo huibuka ni hili la kutenganisha na kufafanua hadhi ya mali za wanandoa ili mgawanyo uweze…
Uponyaji wa majeraha katika maisha (2)
Katika familia yangu tuliwahi kupata jeraha. Septemba 14, 1999 lilitokea tukio la kuhuzunisha kwenye familia yangu. Dada yangu kipenzi, Cecilia aliuawa kikatili, na aliyetenda tukio hilo ni mumewe. Dada aliuawa akiwa anamnyonyesha mtoto wake wa kike aliyekuwa na umri wa…