Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa George Malima, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Mlalo Rashid Abdallah Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri