Latest Posts
Tuzungumze, tujenge nchi pamoja
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Wakati wa harakati za kudai uhuru, viongozi wa Kiafrika waliwaunganisha wananchi kwa kuanzisha vyama vya siasa, pamoja na mambo mengine vyama hivyo vilianzishwa kwa madhumuni ya kutafuta umoja ambao ulikuwa ni silaha namba…
Urais, kizazi cha dhahabu cha Arusha
LONDON Na Ezekiel Kamwaga Mwanzoni mwa miaka ya 1980, mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa Serikali ya Tanzania alipata safari ya kwenda nchini Yugoslavia kikazi. Siku moja kabla hajaondoka, akaitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wakati huo, Mwalimu Julius…
Loliondo yametimia
NGORONGORO Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mvutano uliopo Pori Tengefu la Loliondo mkoani Arusha kati ya serikali na baadhi ya wananchi wanaoungwa mkono na asasi zisizo za kiraia, una vimelea vya uchochezi kutoka kwa raia wa kigeni….
Mkuu wa Gereza kortini kwa mauaji
*Afikishwa pamoja na askari magereza wawili *Akiwa mahabusu anatumia simu kutoa maelekezo ya kikazi Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi…
Manung’uniko kambi ya Ruto Mlima Kenya
Mombasa Na Dukule Injeni Eneo ambalo wagombea wawili wakuu miongoni mwa wanne waliopitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu nchini Kenya utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu wanahitaji zaidi kura ni Mlima Kenya. Wapiga…
Pazia la Ligi Kuu kufungwa kesho
Dar es Salaam Na Andrew Peter Baada ya hekaheka za muda mrefu hatimaye pazia la Ligi Kuu ya Tanzania Bara litafungwa rasmi Jumatano hii lakini macho yatakuwa kwa timu nne za mwisho zinazowania kubaki katika ligi hiyo. Wageni Mbeya Kwanza…