Latest Posts
Gamboshi: Mwisho wa dunia (1)
Gamboshi ni Kijiji kilichopo katika Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu. Kijiji hiki kinasifika kwa uchawi kila kona ya Tanzania. Mtunzi wa hadithi hii, Bugulugulu Duu, ameamua kuvaa uhusika wa hadithi hii. Anaelezea kuhusu mazingira na mazingara ya uchawi katika Kijiji cha…
Miaka mitatu baada ya kifo cha Papa Wemba
Miaka mitatu imetimia tangu mwanamuziki nguli, Papa Wemba, kufariki dunia. Ilikuwa mithili ya simulizi za ‘Alinacha’ asubuhi ya Jumapili Aprili 24, mwaka 2016, kuzagaa kwa taarifa za kifo cha mtunzi na mwimbaji mkongwe, Papa Wemba, kwamba amefariki dunia. Taarifa hizo zilieleza…
Kagera Sugar, Mwadui kicheko
Pengine mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba, wangetamani kuona Kagera Sugar hairudi ligi kuu, lakini ndiyo kama ulivyosikia wamerudi. Uzoefu na mipango vimezifanya timu za Kagera Sugar na Mwadui kurejea ligi kuu msimu ujao wa 2019/2020, timu hizo zimefanikiwa…
CWT kwawaka
Fukuto limezidi kuwa kubwa ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya gazeti hili kuchapisha taarifa za kuwapo ufujaji wa mali za walimu wiki iliyopita, JAMHURI linathibitisha. Wiki iliyopita JAMHURI lilichapisha orodha ya wafanyakazi waliopewa ajira kwa njia ya…
Idadi kubwa ya watu ni ‘dili’
Mwelekeo wa dunia juu ya idadi ya watu, kwa sasa hasa kwa nchi zilizoendelea [Magharibi na Mashariki] zimeachana na sera za kupunguza idadi ya watu wao badala yake zinajitahidi kadri ya uwezo wao kuongeza idadi hiyo. Hii ni baada ya…
Rais Museveni azidi kumuenzi Mwalimu
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemsifu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akisema ni mtu muhimu aliyejenga umoja wa Afrika na ustawi wa binadamu. Ametoa sifa hizo kwenye misa maalumu iliyohudhuriwa na watu zaidi ya 500 kutoka Uganda na…