Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesisitiza msimamo wa nchi yake ya kutofungamana na upande katika vita vya Ukraine na kwamba taifa hilo litaimarisha uhusiano na Urusi katika mwaka ujao 2023.

Wang amesema China itazingatia kuzingatia ya kuaminiana na- ushirikiano na nurusi kwa manufaa kwa pande zote mbili.Meli za kivita kutoka kwa nchi hizo mbili zilifanya mazoezi ya pamoja ya majeshi yao ya wanamaji katika Bahari ya mashariki ya China wiki.

Wang, aliyazungumza hayo mkutano mkutano kwa njia ya video kwenye mji mkuu wa China, Beijing ambapo pia ameilaumu Marekani kutokana na kuzorota uhusiano kati ya mataifa hayo mawili makubwa duniani.Wang amesema China inapinga vikali sera ya Marekani dhidi yake pia ametaja kwamba shinikizo la nchi za magharibi dhidi ya nchi hiyo.

China inataja shinikizo kubwa katika maswala ya biashara, teknolojia, haki za binadamu na kupinga hatua ya hiyo kutangaza kudhibiti eneo zaidi la magharibi mwa bahari ya Pasifiki ni hatua za uonevu za Marekani kutokana na China kukataa kulaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na hatua yake ya nchi kukataa kuungana na nchi nyingine katika kuiwekea vikwazo.

Wang amesema sababu hizo zimechochea mivutano inayoendelea kujitokeza kati ya China na sehemu kubwa ya nchi za Ulaya.

Waziri wa mambo ya nje ya China Wang Yi alizungumza na mwenzake wa Marekani Antony Blinken kwa njia ya mwisho mwa juma.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema Blinken amezungumzia juu ya uhusiano baina ya mataifa hayo kwa kuwajibika na alielezea wasiwasi juu ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unaoathiri vibaya mapato na kupata mapato ya dunia.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Wang ameilaumu Marekani kwa kupendelea upande mmoja amesema hata hivyo amesema China itaendelea kuchukua jukumu muhimu la kuutatua mgogoro wa Ukraine kwa njia yake yenyewe.