Latest Posts
Pongezi kwa wananchi kutii mamlaka
Aprili 9, mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alitangaza kwamba kuanzia Juni mosi mwaka huu itakuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na matumizi yake yatakoma ifikapo Mei 31. …
NINA NDOTO (20)
Umri usiwe kikwazo cha kutimiza ndoto Kuwa na umri fulani si kigezo kuwa huwezi kutimiza ndoto zako. Umri ni namba tu. Bila kujali kama wewe ni mzee au mdogo kiasi gani, bado unaweza kutimiza ndoto zako. Bado unayo nafasi…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (16)
Nikiri nimeendelea kupata simu na maswali mengi kuhusu ‘Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania.’ Nimepata simu kutoka Rukwa, Katavi na maeneo ya mbali. Changamoto kubwa ninayoipata ni wahusika kukutana na makala hii katikati bila kusoma za mwanzo. Sitanii, ananipigia mtu anaulizia mambo…
Elimu ni mkombozi wa ulemavu wa fikra
Ulemavu wa fikra umejificha. Wakati mwingine ni vigumu kuutambua au kwa vile ulemavu huu una nguvu na unaweza kutupumbaza wote, ni jambo ambalo linachukua tafakuri na kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu. Mfano, sisi Waafrika kuwa na majina ya Kizungu na…
Umuhimu wa kujenga familia iliyo bora
Mratibu Ofisi ya CPT Taifa, Mariam Kessy, kwenye kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Nyerere aliwasilisha mada kuhusu familia. Yafuatayo ni baadhi ya yale aliyozungumza. Familia kama msingi wa taifa na jamii, kila mmoja anakotoka na…
Ndugu Rais kama si wewe nani atawatoa watoto majalalani?
Ndugu Rais, imeandikwa; kitabu hiki cha Torati kisitoke mdomoni mwako mchana hata usiku. Nami kama Daudi nimetumwa uyatafakari maandiko tuandikayo kwa maana hayo yataifanikisha njia yako kwa kuwa yatakustawisha! Ndugu Rais, kama si wewe baba, ni nani atawatoa jalalani watoto…