Latest Posts
Uhakiki wa uraia kero Ngara
Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Ngara mkoani Kagera imekuwa ikisababisha usumbufu kwa wananchi wilayani humo kuhusu uraia wa baadhi yao. Inaelezwa kuwa utaratibu wa maofisa Uhamiaji wilayani humo wa kuvizia mabasi na magari yanayofanya safari zake ndani ya wilaya na…
Hifadhi ya Serengeti kuongezwa
Serikali inakusudia kuongeza ukubwa wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, ameliambia Bunge kuwa wizara yake imetayarisha mapendekezo ya kubadili mpaka wa hifadhi hiyo. Kwa sasa ukubwa wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti…
Zoezi la utayari katika afya EAC lipewe uzito
Mwezi ujao, kwa muda wa siku nne, kuanzia tarehe 11 hadi 14, Tanzania itashiriki zoezi la kupima utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani. Hali hiyo inatokana na nchi za Ukanda…
NINA NDOTO (19)
Uaminifu unalipa Uaminifu ni tabia ya mtu kuaminika. Kama watu hawakuamini si rahisi kutimiza ndoto yako. Uaminifu unalipa. Watu wakikuamini ni mojawapo ya hatua kubwa ya kuzifikia ndoto zako. Uaminifu hujengwa, lazima kuna mambo unatakiwa kuyafanya ili watu waweze…
Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo
Kwa siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, hasa mizigo ya mazao yanayoharibika haraka (perishable goods) kama maparachichi. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeyaona malalamiko hayo kupitia vyombo vya habari ikiwemo…
Kumbukizi miaka 20 bila Mwalimu Nyerere
Tunakosea kuwasifu wakwapuzi Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira ya kongamano…