Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Wageni kutoka Nje ya Nchi wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023, (Africa Food Systems Forum2023), uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (Africa Food Systems Forum2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Tanzania kabla ya kuzindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum 2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (Africa Food Systems Forum2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum2023), tarehe 17 Machi, 2023.

By Jamhuri