Ibada maalumu ya miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano hayati Dkt. John Magufuli

Mama Janeth Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella akiweka shada ya maua
Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Innocent Bashungwa akiweka Shada
Mjumbe wa NEC Zanzibar (vijana) Ndg.  Mwanaenzi Hassan Suluhu akiweka shada