Latest Posts
Dk. Mengi alitoa mengi kwa ukarimu
Ukarimu ni mtihani. “Tunatengeneza riziki kwa kile tunachopata, lakini tunatengeneza maisha kwa kile tunachotoa,” alisema hayati Winston Churchill, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza. Ukarimu unapoongelewa kuna ambao wanajiweka upande wa kutoa na kuna ambao kila mara wanajiweka upande wa…
Tupo hapa kwa kupuuza yanayosemwa
Tunaona juhudi za serikali za kuhamasisha mazingira mazuri ya biashara nchini. Wiki iliyopita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameliambia Bunge kwamba serikali imo mbioni kufuta sheria zote zinazokwamisha biashara. Kauli ya waziri mkuu imetanguliwa na kauli nyingi kutoka kwa mawaziri wa…
Afrika inahitaji dozi ya kujiamini
Mei, 1954 majeshi ya kikoloni ya Ufaransa yalipata pigo kali kutoka kwa wapiganaji wa Vietnam katika mapambano kwenye mji wa Dien Bien Phu. Yapo matukio ambayo hubadilisha mkondo wa historia ya ulimwengu na moja ya matukio haya ni mapambano haya…
Mpewa hapokonyeki ndiyo yake haki
Binadamu ni kiumbe mwenye uwezo wa kutambua mema na mabaya. Ana akili ya kufikiri na kutengeneza jambo au kitu. Lakini hughafilika kila mara, si mkamilifu. Ni mdhaifu katika matendo yake. Uwezo na akili alizonazo zinampa kiburi kuweza kutengeneza kitu akitakacho…
Yah: Mhe. Rais, mamlaka ya watendaji wa kati ni kero
Salamu zangu nazielekeza kwa wasomaji wote wa waraka huu kila wiki. Najua kuwa mnaishi kwa matumaini sana, hasa katika kipindi hiki kigumu cha mpito, lakini kipindi hiki cha mpito ni kirefu kuliko wengi walivyotarajia. Najua dhamira ni nzuri na matokeo…
TFF wanaiachaje Azam TV, RTD?
Ligi Kuu imekwisha kufikia tamati na Klabu ya Simba kutwaa ubingwa. Nitoe pongezi kwa Simba na uongozi wao kwa hatua hiyo kubwa. Lakini mbali na Simba, timu nyingine kadhaa zimeshiriki ligi hiyo kwa mafanikio hata kama si ya kiwango cha…