Latest Posts
Ni wakati wa Wanyama kuondoka Tottenham
Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji ambao walitikisa sana katika soka kiasi cha timu kubwa kama Totttenham kumchukua katika kikosi chake, lakini leo hii Wanyama anakosa hata nafasi ya kukaa benchi pale Tottenham. Huu ni wakati muafaka kwake kuondoka na…
Simba, Yanga hazishangazi
Ukiona Simba wanachukua wachezaji wengi kutoka Afrika Magharibi, Yanga nao watakwenda huko. Ukiona pia Yanga wanachukua kocha kutoka Ulaya Mashariki, Simba nao watakimbilia huko. Bahati mbaya zaidi Azam FC nao wameingia katika mkumbo wa kufuata siasa za Simba na Yanga. …
Siri ugomvi Dk. Kigwangalla, Profesa Mkenda hadharani
Chanzo cha ugomvi kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, kimejulikana. Desemba 31, mwaka jana Rais John Magufuli akiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo…
Wagombea CCM mtegoni
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanataka mabadiliko kwenye kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho ili kuruhusu kiongozi kuwa na kofia ya uongozi zaidi ya moja. Hata hivyo, wajumbe wameambiwa wanaotaka nafasi nje…
Mauzo ya korosho bado pasua kichwa Pwani
Jitihada za serikali kuwatafutia wateja wakulima wa korosho za daraja la tatu mkoani Pwani zimegonga mwamba baada ya wanunuzi hao kupendekeza bei ambayo wakulima wameikataa. Kutokana na hilo, mnada wa korosho hizo za daraja la tatu uliofanyika wiki iliyopita umeshindwa…
TRA yaainisha mikakati ya kuongeza mapato
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika nusu ya pili ya mwaka wa fedha 2019/2020 itahakikisha inaongeza makusanyo ya kodi ili kuiwezesha serikali kutekeleza Dira yake ya Maendeleo ya Taifa kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akiainisha mikakati watakayoitumia kufanikisha…