Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Mradi wa Daraja  la Mbuchi wilayani Kibiti akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 28, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi waliojitokeza  kumsikiliza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye aliwasalimia baada ya kukagua Mradi wa Daraja la Mbuchi wilayani Kibiti  akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Mradi wa Daraja  la Mbuchi wilayani Kibiti akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 28, 2022. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na wananchi wakati alipowasili kwenye kijiji cha Mbuchi wilayani Kibiti kukagua Mradi wa Daraja la Mbuchi akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba  28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)