Latest Posts
Yah: Tanzania ilikuwa nyumba ya amani Afrika
Nimekumbuka kuna siku nilisikia kwamba vita ya uchumi sasa hivi ni kubwa na inapiganwa sana duniani baina ya nchi na nchi, vita hii ina lengo la kumiliki njia za uchumi kwa mataifa mbalimbali ili kuweza kuendelea kwa mataifa machache na…
Yanga yaweka ubingwa rehani
Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika…
Magufuli achukua mkondo mpya
Ugumu wa upatikanaji wa fedha ulioibua msemo maarufu wa “vyuma vimekeza”, umebadilika kwa serikali kuanza ‘kulegeza’ baadhi ya mambo. Manung’uniko yameanza kupungua mitaani ambako fedha ziliadimika kwa kiwango kikubwa kuanzia mwaka 2016, lakini Rais John Magufuli akisema waliokuwa wakilalamika ni…
Mjomba amtia mimba mpwawe
Ukishangaa ya Musa…hivyo ndivyo naweza kusema kuhusu binti (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria) mwenye umri wa miaka 16, ambaye anatakiwa kuwa shuleni, lakini haiko hivyo kwake, yupo nyumbani analea mtoto wake mwenye umri wa miezi minne. Anatamani kupata nafasi…
MPITA NJIA
Bunge na madereva wa wabunge…! Umri wa Mpita Njia (MN) unatosha kumfanya awe na kumbukumbu ya mengi – kuanzia zama za ukoloni hadi uongozi wa Awamu hii ya Tano. Anakumbuka zama zile za ubaguzi ambapo Mzungu alikuwa mtu wa…
Wawekezaji waanza na elimu Ulanga
Kampuni ya uchimbaji madini ya kinywe – Mahenge Resources imejitolea kuboresha sekta ya elimu katika Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro. Kampuni hiyo kwa kushirikiana na serikali ya wilaya imechangia Sh milioni 16 kwenye harambee maalumu iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya…