JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

GSM yaingia mkataba na Yanga wasaini Bil.10.9/-

Klabu ya YangaSC leo Septemba 12, 2022 imesaini mikataba mipya miwili na wadhamini wao GSM, mkataba wa kwanza ni wa udhamini wa uzalishaji na usambazaji jezi na vifaa mbalimbali wenye thamani ya shilingi bilioni 9.1 kwa muda wa miaka mitano….

Bolt,Uber kurejesha huduma Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa…

Waziri Aweso amsimamisha kazi meneja RUWASA Karagwe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Karagwe Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA Wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea kutekelezwa Wilayani Karagwe. Ametoa agizo hilo Septemba…