Latest Posts
Kukosa umoja chanzo miradi mibovu ya maji
Hali ya miradi ya maji inayozinduliwa nchini mingi kutotoa maji ipasavyo inaelezwa kuchangiwa na mipango mibovu pamoja na ushirikiano hafifu baina ya wataalamu, hasa wahandisi wakati wa utekelezaji. Hayo yamebainishwa na Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini (ERB), Mhandisi Patrick…
Mwisho wa kusajili laini ni Desemba 31, TCRA yasisitiza
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza kuwa mwisho wa zoezi la kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole ni Desemba 31, mwaka huu. Msisitizo huo unatokana na kuwepo kwa taarifa kwamba serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani…
Ofisa Afya alia na Tume ya Utumishi
Ofisa Afya mstaafu, Joseph Ndimugwanko, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Buhororo wilayani Ngara anailalamikia Tume ya Utumishi wa Umma kwa madai ya kutomtendea haki katika rufaa yake ya Agosti 20, 2014 ya kupinga kufukuzwa kazi. Ndimugwanko alifukuzwa kazi Julai…
Msafara wa Magufuli una mambo mengi
Usidhani kuwa Rais John Magufuli anapopanga kutembelea eneo fulani katika ziara zake wanaohusika katika misafara yake ni viongozi wa serikali pekee. Wakati maofisa wakiandaa safari hizo, wapo watu wengine kwa mamia ambao nao hujiandaa kwenda katika ziara hizo kwa malengo…
KIJANA WA MAARIFA (5)
Ukijificha fursa nazo zinajificha Kuna watu wanajua mambo mengi lakini hawataki kutoka nje na kuonyesha yale waliyojaliwa. Kuna watu wana ujuzi mkubwa lakini hawataki kuonyesha ujuzi wao. Kuna watu wana mawazo mazuri ya biashara lakini hawataki kuanza kuyafanyia kazi. Kila…
Viongozi acheni kumtegea Rais Magufuli
Kuna kundi kubwa la wananchi ambao wamekuwa wakizunguka katika ziara anazofanya Rais Dk. John Magufuli kwa lengo la kufikisha kero zao kwake. Watu hao wamefikia hatua hiyo baada ya viongozi na watumishi katika ngazi nyingine kushindwa kuwasaidia kutatua matatizo yao….