Latest Posts
Siri hadharani
*Kampuni iliyoghushi, ikafungiwa yaelekezewa ulaji *Yakaribia kupewa zabuni nono ya Sh bilioni 440 *Ni mkopo wa maji utakaolipwa na Watanzania NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Wizara ya Maji imebariki kampuni kutoka nchini India isiyo na sifa kwa mujibu wa…
Huyu Bernard Membe vipi?
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Kwa mfululizo, matoleo mawili ya Gazeti pendwa la JAMHURI, Bernard Membe, amekuwa akiwaelezea Watanzania chuki yake dhidi ya Serikali ya Awamu ya Tano na CCM kwa kipindi hicho. Swali langu ni je, hivi…
Tuamke, muda unatukimbiza
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nchi imo kwenye majonzi. Ni majonzi makubwa, hasa kwa mashabiki wa soka. Ni juzi tu tumetoka kufungwa mabao 0 – 3 na DRC. Kipigo hicho hakijaishia kutuumiza mioyo pekee, bali pia kimekatisha ndoto zetu…
Nini hatima ya mishahara hii minono?
DODOMA Na Javius Byarushengo Miongoni mwa nadharia zinazohusiana na chanzo cha uhalifu katika jamii ni ‘nadharia ya migogoro’ (conflict theory). Nadharia hii inaeleza kuwa tabia potofu ni matokeo ya kutokuwapo usawa wa kiuchumi na kisiasa katika jamii. Wananadharia wanasema migogoro…
Atatoka wapi Mzee Mayega mwingine?
DAR ES SALAAM Na Abdul Saiwaad Katikati ya miaka ya 1980, sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa, nilipofahamishwa kwa Paschally Boniface Mayega. Rafiki yangu aitwaye Kamugisha ndiye aliyenitambulisha. Tulikutana Posta Mpya ambapo Mayega alikuwa akifanya kazi Idara ya Mauzo ya Simu….
MWAKA MMOJA IKULU Dk. Mwinyi anavyokataa kufukua makaburi
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Alhamisi Oktoba 29, 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ilimtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar, kwa ushindi wa asilimia 76.27 ya kura zilizopigwa. Akizungumza baada ya…