Latest Posts
Basi la Arusha Express, Laua Wanne , na Kujeruhi 11
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali ya basi la Kampuni ya Arusha Express lenye namba za usajili T 750 BYQ katika eneo la Bonga, Babati mkoani Manyara…
Humphrey Polepole Atoa limiti ya Wabunge Wanaotaka Kuhamia CCM
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018. Polepole ametoa kauli hiyo jana Jumapili Oktoba 7, 2018 kupitia…
Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani
Mheshimiwa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, sisi askari wastaafu wa Jeshi la Polisi tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ingawa kuna changamoto za hapa na pale. Tunakutia moyo na tunaomba Mungu akuzidishie hekima katika utendaji wako. Ndugu…
Mtoto wa rais akamatwa na mali za bilioni 36
Sao Paulo, Brazil Vyombo vya usalama nchini Brazil vimekamata fedha taslimu na mali za kifahari za mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema, vyote vikiwa na thamani ya dola milioni 16 (Sh bilioni 36). Miongoni mwa vito vya…
Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi
Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi…