JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Humphrey Polepole Atoa limiti ya Wabunge Wanaotaka Kuhamia CCM

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018.   Polepole ametoa kauli hiyo jana Jumapili Oktoba 7, 2018 kupitia…

Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani

Mheshimiwa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, sisi askari wastaafu wa Jeshi la Polisi tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ingawa kuna changamoto za hapa na pale. Tunakutia moyo na tunaomba Mungu akuzidishie hekima katika utendaji wako. Ndugu…

Mtoto wa rais akamatwa na mali za bilioni 36

Sao Paulo, Brazil Vyombo vya usalama nchini Brazil vimekamata fedha taslimu na mali za kifahari za mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema, vyote vikiwa na thamani ya dola milioni 16 (Sh bilioni 36). Miongoni mwa vito vya…

Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi

Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi…

Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (3)

Wakati wakulima wa korosho wanaanza kufaidi – (kwa Kimwela ‘kupoka’) neema za korosho, mara mwaka ule wa 1973 serikali ikavunja ile bodi ya mazao, lakini ikaunda mamlaka maalumu kwa zao letu la korosho. Mamlaka hiyo ilijulikana kama CATA (Cashew Authority…