JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbwana Samatta Apiga tena hat-trick

Ligi Kuu Ubelgiji msimu wa 2019/20 imeendelea tena jana club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilikuwa nyumbani Luminus Arena kucheza game yake ya 9 ya Ligi Kuu dhidi ya Zulte Waregem. Game hiyo ilikuwa na mvuto wa…

Zidane Ajiandaa Kuchukua Mikoba ya Mourinho Man U

Jumamosi ya September 29 2018 club ya Man United ilikuwa London kucheza game yake ya ya Ligi Kuu England dhidi ya wenyeji wao West Ham United katika uwanja wa London Stadium. Man United ambayo ipo katika wakati mgumu kwa sasa…

Ndugu Rais tunashangilia ushindi kwa u-vuvuzela wetu

Ndugu Rais tumwombe Mwenyezi Mungu asikae mbali na sisi maskini wake, bali atukaribie! Mavuvuzela yamesimama mbele yetu, ona wanayotufanyia. Muumba usifiche uso wako wakati wa taabu zetu; wakati tunapolia sana! Sikia maombi ya watoto wako ushuke, tunaangamia. Shuka utusaidie. Tunapotafakari…

Rais mteule akwama uwanja wa ndege

*Ikulu kugeuzwa jumba la utamaduni New Mexico, Mexico Rais mteule wa Mexico, López Obrador, uamuzi wake wa kutumia usafiri wa ndege wa umma wiki iliyopita ulimtumbukia nyongo baada ya kukwama ndani ya ndege uwanjani kwa saa tatu kutokana na hali…

Watoto wa Afrika tunaona au tunaonwa? (2)

Kuanguka kwa zama za ukoloni na ukoloni mkongwe kumetoa nafasi kwa ukoloni mamboleo na ubeberu kutamalaki Afrika. Watoto wa Afrika hatuna budi kuona kwa undani mifumo miwili hii inayotamalaki inakatishwa na kufutwa. Watoto wale (waliopita) wa Afrika waliona athari na…