Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa  akiweka  kura yake kwenye sanduku la kura katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ruangwa wa kuchagua viongoziwa CCM wa wilaya hiyo  uliofanyika kwenye ukumbi wa  Shule ya Awali na Msingi Wonder kids, Ruangwa Oktoba 2, 2022. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa CCM wa wilaya ya Ruangwa wa kuchagua viongozi wa CCM wa wilaya hiyo wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa wakatika alipozungumza kwenye ukumbi wa Shule ya Awali na Msingi, Wonder  Kids iliyopo Ruangwa, Oktoba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

By Jamhuri