JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sekta binafsi ipitie upya tozo

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…

Mwisho wa Djodi na Azam FC hautishi sana

Nilisoma mahali Azam FC walivyoachana na fundi wao wa mpira raia wa Ivory Coast, Richard Djodi. Richard ni fundi kweli kweli, mpira ukiwa mguuni mwake hautamani autoe haraka. Lakini namba zimemhukumu. Azam FC wamemuonyesha mlango ulioandikwa Exit. Soka la kileo…

Wananchi tuchukue hadhari, COVID-19 bado tunayo

Ugonjwa wa COVID-19 ulioanzia nchini China mapema mwaka jana na kusambaa duniani kote, unaendelea kugharimu maisha ya walimwengu wengi. Tanzania, kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika na dunia, imeshaonja machungu ya uwepo wa maradhi haya hatari.  Mwaka jana shule na…

Kinyang’anyiro cha Pembe ya Afrika

DJIBOUTI CITY, DJIBOUTI Wakati dunia ikiwa inahangaika kupambana na janga la Corona, kuna mambo yanaendelea kimyakimya ambayo yanaweza kubadilisha mahusiano na muonekano wa nchi zilizo katika Pembe ya Afrika na hata Afrika Mashariki. Kinachoendelea katika eneo hilo hakina tofauti sana…

Mgogoro Mabangu Mining, wananchi bado unafukuta

Kampuni ya Mabangu Mining ya Mbogwe, mkoani Geita imekanusha kununua mashamba ya wananchi wa Kijiji cha Nyakafuru, JAMHURI limeelezwa. Awali, wananchi wa kijiji hicho walikuwa wakiilalamikia Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya wakidai imezuia gawio la asilimia saba ya…