Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi  na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi  na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya  mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
Mkewa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa vikundi mbalimbali vya Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembelezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la Regeza mwendo na kumalizika katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yalioyofanyika leo 24-9-2022. (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Majini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na  (kushoto) Mkuu wa JKU Kanali Makame Abdalla Daima.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya Viungo wa Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, baada ya kumaliza matembezi na mazoezi ya viungo katika viwanja vya mpira Dole, kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi kuzungumza
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya viungo wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 5.5 na mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Dole
Please follow and like us:
Pin Share