JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nikki Haley ajibu tuhuma za Iran, kuwa Marekani ilihusika na shambulio

Balozi wa Marekani umoja wa mataifa ameitaka Iran ijiangalie yenyewe katika shambulio la la kijeshi lililoua watu 25 siku ya Jumamosi. Balozi huyo Nikki Haley amejibu tuhuma za rais wa Iran, anayeilaumu Marekani kwa kuhusika na shambulio hilo na kusema…

Tanzania yaadhimisha miaka 51 ya madini ya Tanzanite

Kwa mara ya kwanza Tanzania imeadhimisha miaka 51 tangu kuvumbuliwa kwa madini ya kipekee ulimwenguni, Tanzanite. Maadhimisho hayo yalidogoshwa kutokana na Taifa la Tanzania kuwa katika maombolezo kwa siku tatu mfululizo kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere Alhamisi wiki…

Magazetini Leo Jumatatu ya Tarehe 24, September, 2018

ILI UNUNUE NA USOME GAZETI KWA NUSU BEI BONYEZA>>> HAPA   

Simba Yapitisha Majina ya Wagombea Uongozi

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Boniface Lyamwike, imeweka wazi majina ya waliopita kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ambapo wagombea wawili wameondolewa kati ya 21 waliochukua fomu. Taarifa ya kamati hiyo imewataja waliopitishwa…

LISHE DUNI NA ULAJI USIOFAA NI ADUI WA MAENDELEO NCHINI-MAJALIWAPicha

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI    LISHE DUNI NA ULAJI USIOFAA NI ADUI WA MAENDELEO NCHINI-MAJALIWA *Asema ni chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na moyo  *Asisiza wananchi kuzingatia ulaji unafaa na kubadili mitindo ya maisha  …

WAZIRI MKUU AKATISHA ZIARA DODOMA, AENDA UKEREWE

WAZIR MKUU Kassim Majaliwa amekatisha ziara ya mkoa wa Dodoma na kuelekea Ukerewe Mwanza kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere. Waziri Mkuu ambaye alikuwa na ziara ya kikazi ya siku saba katika mkoa…