Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuaga mwili wa marehemu Balozi Paul Rupia, katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuaga mwili wa marehemu Balozi Paul Rupia, katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuaga mwili wa Marehemu Balozi Paul Rupia, katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)