Latest Posts
Baba ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumrubuni binti yake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora MAHAKAMA ya hakimu mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jera Masanja Shija, mkulima na mkazi wa kijiji cha Shila kata ya Isanzu Mkoa wa Tabora baada ya kupatikana na kosa la…
Mradi mkubwa wa kusafirisha umeme Tanzania-Zambia kukamilika 2025
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya IMEELEZWA kuwa, mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya kV 400 kutoka Iringa-Tanzania hadi nchini Zambia (TAZA) utaanza kutekelezwa Januari, 2023 na utakamilika Januari 2025 hali itakayopelekea kuimarika kwa upatikanaji umeme katika mikoa ya Iringa,…
Homa ya mgunda isiwe kikwazo cha kutokula nyama
Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imesema ugonjwa wa Homa ya Mgunda usiwe kikwazo cha Watanzania kutokula nyama na kwamba asilimia tisini ya nyama inayopitia kwenye machinjio rasmi iko salama. Akizungumza jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari, Mkurugenzi wa Huduma za…





