Latest Posts
Gamboshi: Mwisho wa dunia (7)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 6 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Sina kitu nitakachopoteza lile dubwasha likinishinda mama yangu. Sana sana nitapoteza roho yangu tu. Sasa roho yangu ikipotea kutakuwa na hasara gani? Je, ni nani ajuaye kwa dhati…
Tutakwama, tusiendelee kujidanganya
Wakati Madagascar ikifanya maajabu katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika iliyomalizika hivi karibuni nchini Misri, wengine tulijidanganya kuwa tupo kundi gumu. Si kujidanganya tu, bali pia tulijipa matumaini kwamba lazima tupate uzoefu ili tuweze kufikia malengo halisi tunayoyataka. Tukaitolea…
Ameuawa?
Naomi Marijani (36), mama wa mtoto mmoja, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ametoweka katika mazingira yenye utata kiasi cha kujengeka hisia kuwa ameuawa, JAMHURI linaripoti. Hadi leo zimetimia siku 63 tangu Naomi ametoweka katika mazingira yenye kuacha maswali…
Busara katika kodi ya ardhi
Hivi karibuni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, ameonyesha ujasiri zaidi katika kuzibana taasisi na kampuni zenye madeni makubwa ya kodi ya pango la ardhi. Mpita Njia ama MN anatambua ukubwa wa tatizo hilo….
HALI YA UCHUMI KWA WATANZANIA
TEC, Bakwata, CCT wafichua mkwamo Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wamefichua mambo manane yanayoifanya nchi ishindwe kuwahakikishia wananchi uchumi imara na maendeleo endelevu. Mbali na kufichua aina…
Nchi yapiga hatua zaidi sekta ya afya
Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa kuwa na mashine bora 24 zinazopima makundi ya damu. Mitambo hiyo ya kisasa zaidi ulimwenguni inahusika pia kupima maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwamo homa ya ini na virusi vya ukimwi. Afrika Kusini ndilo…