JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Shirika la Ndege Afrika Kusini hali mbaya

Hali ya kifedha ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) imezidi kudorora na kulilazimisha shirika hilo kusitisha safari za ndani isipokuwa kwenda na kutoka Johannesburg na Cape Town. Hilo limetangazwa wiki iliyopita na timu maalumu ya wataalamu wa biashara…

Virusi vya Corona vyaikamata dunia

Idadi ya maambukizi, vifo yaongezeka kila kukicha Wataalamu watabiri uchumi wa dunia kutetereka Kwa zaidi ya wiki sita sasa dunia imekuwa kwenye mshikemshike kutokana na kuibuka kwa kirusi hatari kijulikanacho kama Corona. Kirusi hicho, ambacho si kipya katika orodha ya…

Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole

Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole sana lakini yakiachwa yaendelee hufikia mahali yakawa makubwa sawa na nyundo inayogonga kichwani.  Maumivu yetu ya kichwa yalianza polepole sana mara tu Serikali ya Awamu ya Tano ilipoingia madarakani. Tuliruhusu yaendelee na sasa…

Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (2)

Makala hii ilianza wiki iliyopita ambapo ilielezwa kuwa kiujumla kuwa neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, ukati na kati na ubora. Uislamu unahimiza ‘Wasatwiyya’ katika kila jambo kwa kuwa hata dini yenyewe ni dini ya ‘Wasatwiyya’; Dini ya Wastani;…

Msitu wa kitalii katikati ya jiji wawainua wananchi kiuchumi

Jiji la Arusha lililopo kaskazini mwa Tanzania limepata umaarufu mkubwa kutokana na kuwepo kwa vivutio vingi vya utalii na kuufanya mji huo kuitwa mji wa kitalii. Vivutio hivyo ni pamoja na uwepo wa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Hifadhi ya…

Acha kubeba mzigo wa wivu (2)

Ishi na watu vizuri. Ishi na majirani zako vizuri. Kumbuka: Unaishi na watu. Kuzaliwa kwako kumefanywa na watu. Jina lako unalotumia umepewa na watu. Umepata elimu kutoka kwa watu. Kipato chako unachopata kinatoka kwa watu. Heshima uliyonayo inatoka kwa watu….