Latest Posts
Afrika inahitaji dozi ya kujiamini
Mei, 1954 majeshi ya kikoloni ya Ufaransa yalipata pigo kali kutoka kwa wapiganaji wa Vietnam katika mapambano kwenye mji wa Dien Bien Phu. Yapo matukio ambayo hubadilisha mkondo wa historia ya ulimwengu na moja ya matukio haya ni mapambano haya…
Mpewa hapokonyeki ndiyo yake haki
Binadamu ni kiumbe mwenye uwezo wa kutambua mema na mabaya. Ana akili ya kufikiri na kutengeneza jambo au kitu. Lakini hughafilika kila mara, si mkamilifu. Ni mdhaifu katika matendo yake. Uwezo na akili alizonazo zinampa kiburi kuweza kutengeneza kitu akitakacho…
Yah: Mhe. Rais, mamlaka ya watendaji wa kati ni kero
Salamu zangu nazielekeza kwa wasomaji wote wa waraka huu kila wiki. Najua kuwa mnaishi kwa matumaini sana, hasa katika kipindi hiki kigumu cha mpito, lakini kipindi hiki cha mpito ni kirefu kuliko wengi walivyotarajia. Najua dhamira ni nzuri na matokeo…
TFF wanaiachaje Azam TV, RTD?
Ligi Kuu imekwisha kufikia tamati na Klabu ya Simba kutwaa ubingwa. Nitoe pongezi kwa Simba na uongozi wao kwa hatua hiyo kubwa. Lakini mbali na Simba, timu nyingine kadhaa zimeshiriki ligi hiyo kwa mafanikio hata kama si ya kiwango cha…
Masele yametimia
Hatima ya Stephen Masele kuendelea au kutoendelea kuwa mbunge katika Bunge la Afrika (PAP) inajulikana wiki hii. Masele ambaye ni Mbunge wa Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekaliwa vibaya kisiasa, na aliyeshika mpini kwenye vita hiyo ni Spika…
Mochwari ya Muhimbili mmmh!
Mpita Njia (MN) kwa umri alionao, anaona kuna haja ya kuyakaribia Maandiko Matakatifu na kuyaishi. Kwa umri wake amepitia mengi, lakini la hivi karibuni la kuingia katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili limemfanya azidi kuimarika kiimani….