JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Spika ajaye

*Msekwa asema kuna waliojitokeza kutangaza majina yao *Chenge, Dk. Tulia, Dk. Kashililah  watajwa kumrithi Ndugai DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Nani kurithi nafasi ya Spika wa Bunge baada ya Job Ndugai kujiuzulu Januari 6, mwaka huu, ni swali gumu…

UJANGILI  Bunduki yenye ‘silencer’ yatumika

*Wataalamu wasema ni kinyume cha sheria za uwindaji wa kitalii *Al Amry adaiwa pia kukiuka haki za watoto, kuwapa silaha hatari *Kesi ya rushwa aliyobambikiwa mwandishi yapigwa tarehe ARUSHA Na Mwandishi Wetu Wakati kesi iliyofunguliwa na Taasisi ya Kuzuia na…

Kiswahili chaongoza ufaulu nchini

*Ni matokeo ya mitihani ya darasa la nne, kidato cha pili na cha nne 2021 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati ufaulu katika somo la Hesabu kwa wanafunzi wa madarasa mbalimbali nchini ukiporomoka, somo la Kiswahili limetajwa kuongoza katika…

Baraza la Mawaziri 1963

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Umri wa mawaziri umekuwa gumzo kwa nyakati tofauti, wengi wakitamani kuona Baraza la Mawaziri likitawaliwa na vijana. Na hata wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipofanya mabadiliko mapema mwezi huu, hoja hiyo iliibuka tena. Ni…

Uspika tusipime maji kwa miguu miwili

Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Mwezi huu aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, amejiuzulu. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Kongwa, amejiuzulu kutokana na maneno makali aliyoyatoa Desemba 28, 2021 akiishambulia serikali kwa kuchukua mikopo kutoka nje ya nchi. Kilicholeta…

TEF kuwakusanya wahariri Afrika

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanatarajiwa kukutana mara mbili nchini Tanzania, ndani ya miezi miwili, JAMHURI limeelezwa. Katika matukio hayo ya kihistoria, wahariri kutoka zaidi ya mataifa 10 ya…