Latest Posts
FCC: TANOGA inarahisisha ukaguzi wa bidhaa
Na Mwandshi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Ushindani (FCC) imeanza kutumia Mfumo wa Ukaguzi wa Bidhaa wa Pamoja (TANOGA) unaofanya kazi kwa ushirikiano na mamlaka nyingine za serikali. Akizungumza hivi karibuni katika semina ya wahariri wa vyombo mbalimbali…
CCM yatoa salamu za rambirambi kifo cha Kadinali Pengo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambirambi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap, kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo hilo, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, aliyefariki dunia Februari…
Kunenge: Viongozi Pwani kuweni wabunifu kuendana na kasi ya uchumi wa dunia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa viongozi kuwa wabunifu ili kuendana na kasi ya uchumi wa dunia kwa kuongeza uzalishaji wa mazao na mifugo, kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na…
Serikali kuimarisha elimu ya malezi kupitia kampasi ya Kisangara
Na Jackline Minja, WMJJWM, Kilimanjaro Serikali imesema itaendelea kuimarisha malezi ya watoto na utoaji wa mafunzo ya ustawi wa jamii kwa wananchi ili kupunguza changamoto za misongo ya mawazo, migogoro ya kifamilia na matatizo ya kisaikolojia, sambamba na kujenga jamii…
Rubio: Iran yatengeneza makombora yanayoweza kufika Marekani
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani asema Iran inaendeleza makombora ya masafa marefu yanayoweza kufikia Marekani, akisisitiza kuwa hilo ni tishio lisilovumilika kabla ya mazungumzo ya Geneva. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema Iran inaendelea…
Wakulima wa ngano na shiyiri nchini kuongeza uzalishaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Mpango wa Serikali kuongeza uzalishaji wa Ngano nchini na kupunguza uagizaje nchi za ngano sasa umepata Suluhu baada ya Kampuni ya Balton Tanzania, kuzindua viatilifu 10 vipya kusaidia wakulima wa Ngano, Shiyiri na mazao mengine kukabiliana…





